Kiroma

Kiroma ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waroma kwenye kisiwa cha Romang. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiroma imehesabiwa kuwa watu 1700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiroma iko katika kundi la Kitimor-Babar.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search